5 Wakazi wa Samaria watatetemekakwa sababu ya ndama wa huko Betheli.Watu wake watamwombolezea ndama huyo,hata makuhani wanaomwabudu watamlilia;kwani fahari ya ndama huyo imeondolewa.
Kusoma sura kamili Hosea 10
Mtazamo Hosea 10:5 katika mazingira