Hosea 10:6 BHN

6 Kinyago hicho kitapelekwa Ashuru,kama ushuru kwa mfalme mkuu.Watu wa Efraimu wataaibishwa,Waisraeli watakionea aibu kinyago chao.

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:6 katika mazingira