Hosea 10:8 BHN

8 Mahali pa kuabudia vilimani pa Aweni,dhambi ya Waisraeli, pataharibiwa.Miiba na magugu vitamea katika madhabahu zao.Nao wataiambia milima, “Tufunikeni”na vilima, “Tuangukieni!”

Kusoma sura kamili Hosea 10

Mtazamo Hosea 10:8 katika mazingira