Hosea 11:2 BHN

2 Lakini kadiri nilivyozidi kuwaita,ndivyo walivyozidi kwenda mbali nami;waliendelea kuyatambikia Mabaali,na kuvifukizia ubani vinyago vya miungu.

Kusoma sura kamili Hosea 11

Mtazamo Hosea 11:2 katika mazingira