3 Mimi ndiye niliyemfundisha Efraimu kutembea!Mimi mwenyewe niliwachukua mikononi mwangu;lakini hawakutambua kuwa mimi ndiye niliyewatunza.
Kusoma sura kamili Hosea 11
Mtazamo Hosea 11:3 katika mazingira