Hosea 11:4 BHN

4 Niliwaongoza kwa kamba za hurumanaam, kwa kamba za upendo;kama baba amwinuaye mtoto mpaka shavuni mwake,ndivyo nami nilivyokuwa kwao.Mimi niliinama chini na kuwalisha.

Kusoma sura kamili Hosea 11

Mtazamo Hosea 11:4 katika mazingira