Hosea 11:8 BHN

8 Ewe Efraimu, nawezaje kukuacha?Nawezaje kukutupa ewe Israeli?Nitawezaje kukufanya kama mji wa Adma?Nitawezaje kukutenda kama Seboimu!Nazuiwa na moyo wangu;huruma yangu imezidi kuwa motomoto.

Kusoma sura kamili Hosea 11

Mtazamo Hosea 11:8 katika mazingira