Hosea 11:9 BHN

9 Nitaizuia hasira yangu kali;sitamwangamiza tena Efraimu,maana mimi ni Mungu, wala si binadamu.“Mimi ndimi Mtakatifu miongoni mwenu,nami sitakuja kuwaangamiza.

Kusoma sura kamili Hosea 11

Mtazamo Hosea 11:9 katika mazingira