Hosea 12:14 BHN

14 Waefraimu wamemchukiza Mwenyezi-Mungu sana.Lakini Mwenyezi-Mungu atawalipiza makosa yao,atawaadhibu kwa mambo maovu waliyotenda.

Kusoma sura kamili Hosea 12

Mtazamo Hosea 12:14 katika mazingira