Hosea 13:1 BHN

1 Waefraimu waliponena, watu walitetemeka;Waefraimu walikuwa na uwezo mkubwa huko Israeli,lakini walianza kumwabudu Baali, wakajiletea kifo.

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:1 katika mazingira