Hosea 13:2 BHN

2 Waefraimu wameendelea kutenda dhambi,wakajitengenezea sanamu za kusubu,sanamu zilizotengenezwa kwa ustadi wao,zote zikiwa kazi ya mafundi.Wanasema, “Haya zitambikieni!”Wanaume wanabusu ndama!

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:2 katika mazingira