Hosea 13:3 BHN

3 Basi, watatoweka kama ukungu wa asubuhi,kama umande utowekao upesi;kama makapi yanayopeperushwa mahali pa kupuria,kama moshi unaotoka katika bomba.

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:3 katika mazingira