Hosea 13:4 BHN

4 Mwenyezi-Mungu asema:“Lakini mimi, Mwenyezi-Mungu, ni Mungu wenu,ambaye niliwatoa nchini Misri;hamna mungu mwingine ila mimi,wala hakuna awezaye kuwaokoeni.

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:4 katika mazingira