Hosea 13:10 BHN

10 Yuko wapi sasa mfalme wenu awaokoe?Wako wapi wale wakuu wenu wawalinde?Nyinyi ndio mlioomba:‘Tupatie mfalme na wakuu watutawale.’

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:10 katika mazingira