Hosea 13:14 BHN

14 Yanibidi kuwakomboa hawa watu kutoka kuzimu;sharti niwaokoe kutoka kifoni!Ewe Kifo, yako wapi maafa yako?Ewe Kuzimu, yako wapi maangamizi yako?Mimi sitawaonea tena huruma!

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:14 katika mazingira