Hosea 13:15 BHN

15 “Hata kama Efraimu atastawi kama nyasi,mimi Mwenyezi-Mungu nitavumisha upepo wa mashariki,upepo utakaozuka huko jangwani,navyo visima vyake vitakwisha maji,chemchemi zake zitakauka.Hazina zake zote za thamani zitanyakuliwa.”

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:15 katika mazingira