Hosea 13:16 BHN

16 Watu wa Samaria wataadhibiwa kwa kosa lao.Kwa sababu wamemwasi Mungu wao.Watauawa kwa upanga,vitoto vyao vitapondwapondwa,na kina mama wajawazito watatumbuliwa.

Kusoma sura kamili Hosea 13

Mtazamo Hosea 13:16 katika mazingira