Hosea 14:2 BHN

2 Ombeni toba kwake,mrudieni na kumwambia:“Utusamehe uovu wote,upokee zawadi zetu,nasi tutakusifu kwa moyo.

Kusoma sura kamili Hosea 14

Mtazamo Hosea 14:2 katika mazingira