Hosea 14:3 BHN

3 Ashuru haitatuokoa,hatutategemea tena farasi wa vita.Hatutaviita tena: ‘Mungu wetu’hivyo vinyago tulivyochonga wenyewe.Kwako ee Mungu yatima hupata huruma.”

Kusoma sura kamili Hosea 14

Mtazamo Hosea 14:3 katika mazingira