Hosea 14:4 BHN

4 Mwenyezi-Mungu asema,“Nitaponya utovu wao wa uaminifu;nitawapenda tena kwa hiari yangu,maana sitawakasirikia tena.

Kusoma sura kamili Hosea 14

Mtazamo Hosea 14:4 katika mazingira