Hosea 14:7 BHN

7 Watarudi na kuishi chini ya ulinzi wangu,watastawi kama bustani nzuri.Watachanua kama mzabibu,harufu yao nzuri kama ya divai ya Lebanoni.

Kusoma sura kamili Hosea 14

Mtazamo Hosea 14:7 katika mazingira