Hosea 14:8 BHN

8 Enyi watu wa Efraimu,mna haja gani tena na sanamu?Mimi ndiye ninayesikiliza sala zenu,mimi ndiye ninayewatunzeni.Mimi nitawapa kivuli kama mberoshi,kutoka kwangu mtapata matunda yenu.

Kusoma sura kamili Hosea 14

Mtazamo Hosea 14:8 katika mazingira