Hosea 2:23 BHN

23 Nitamwotesha Yezreeli katika nchi;nitamhurumia ‘Asiyehurumiwa’,na wale walioitwa ‘Siwangu’,nitawaambia, ‘Nyinyi ni watu wangu.’Nao watasema, ‘Wewe ni Mungu wetu.’”

Kusoma sura kamili Hosea 2

Mtazamo Hosea 2:23 katika mazingira