Hosea 3:4 BHN

4 Hivyo ndivyo Waisraeli watakavyokuwa: Watakaa kwa muda mrefu bila mfalme au mkuu; bila tambiko, wala mnara wala kizibao cha kifuani wala kinyago.

Kusoma sura kamili Hosea 3

Mtazamo Hosea 3:4 katika mazingira