Hosea 3:5 BHN

5 Baadaye, Waisraeli watarudi na kumtafuta Mwenyezi-Mungu, Mungu wao, na kumtafuta mfalme wao, mzawa wa Daudi. Ndipo watakapomcha Mwenyezi-Mungu, na kutazamia wema wake siku za mwisho.

Kusoma sura kamili Hosea 3

Mtazamo Hosea 3:5 katika mazingira