Hosea 4:1 BHN

1 Msikilizeni Mwenyezi-Mungu,enyi Waisraeli.Mwenyezi-Mungu anawashutumu wakazi wa nchi hii.“Hamna tena uaminifu wala wema nchini;hamna anayemjua Mungu katika nchi hii.

Kusoma sura kamili Hosea 4

Mtazamo Hosea 4:1 katika mazingira