Hosea 4:13 BHN

13 Wanatambikia kwenye vilele vya milima;naam, wanatoa tambiko vilimani,chini ya mialoni, migude na mikwaju,maana kivuli chao ni kizuri.“Kwa hiyo binti zenu hufanya uzinzi,na bibiarusi wenu hufanya uasherati.

Kusoma sura kamili Hosea 4

Mtazamo Hosea 4:13 katika mazingira