Hosea 4:9 BHN

9 Lakini yatakayowapata watu yatawapata makuhani;nitawaadhibu kwa sababu ya mwenendo wao,nitawalipiza matendo yao wenyewe.

Kusoma sura kamili Hosea 4

Mtazamo Hosea 4:9 katika mazingira