7 Wamevunja uaminifu kwa Mwenyezi-Mungu,wamezaa watoto walio haramu.Mwezi mwandamo utawaangamiza,pamoja na mashamba yao.
Kusoma sura kamili Hosea 5
Mtazamo Hosea 5:7 katika mazingira