Hosea 5:8 BHN

8 “Pigeni baragumu huko Gibea,na tarumbeta huko Rama.Pigeni king'ora huko Beth-aveni.Enyi watu wa Benyamini, adui yenu yuko nyuma!

Kusoma sura kamili Hosea 5

Mtazamo Hosea 5:8 katika mazingira