Hosea 5:9 BHN

9 Siku nitakapotoa adhabuEfraimu itakuwa kama jangwa!Ninachotangaza miongoni mwa makabila ya Israeli,ni jambo litakalotukia kwa hakika.

Kusoma sura kamili Hosea 5

Mtazamo Hosea 5:9 katika mazingira