Hosea 6:3 BHN

3 Basi tumtambue,tujitahidi kumjua Mwenyezi-Mungu.Kuja kwake ni hakika kama alfajiri,yeye atatujia kama manyunyu,kama mvua za masika ziinyweshayo ardhi.’”

Kusoma sura kamili Hosea 6

Mtazamo Hosea 6:3 katika mazingira