Hosea 7:12 BHN

12 Watakapokwenda nitatandaza wavu wangu niwanase,nitawaangusha chini kama ndege wa angani;nitamwaadhibu kadiri ya ripoti ya maovu yao.

Kusoma sura kamili Hosea 7

Mtazamo Hosea 7:12 katika mazingira