Hosea 7:13 BHN

13 Ole wao kwa kuwa wameniacha!Maangamizi na yawapate, maana wameniasi.Nilitaka kuwakomboa,lakini wanazua uongo dhidi yangu.

Kusoma sura kamili Hosea 7

Mtazamo Hosea 7:13 katika mazingira