Hosea 7:14 BHN

14 “Wananililia, lakini si kwa moyo.Wanagaagaa na kujikatakata vitandani mwao,kusudi nisikilize dua zao za nafaka na divai;lakini wanabaki waasi dhidi yangu.

Kusoma sura kamili Hosea 7

Mtazamo Hosea 7:14 katika mazingira