Hosea 8:14 BHN

14 Waisraeli wamemsahau Muumba wao,wakajijengea majumba ya fahari;watu wa Yuda wamejiongezea miji ya ngome,lakini mimi nitaipelekea moto miji hiyo,na kuziteketeza ngome zao.”

Kusoma sura kamili Hosea 8

Mtazamo Hosea 8:14 katika mazingira