Hosea 8:7 BHN

7 “Wanapanda upepo, watavuna kimbunga!Mimea yao ya nafaka iliyo mashambanihaitatoa nafaka yoyote.Na hata kama ikizaa,mazao yake yataliwa na wageni.

Kusoma sura kamili Hosea 8

Mtazamo Hosea 8:7 katika mazingira