Hosea 8:6 BHN

6 Nanyi Waisraeli ni hivyohivyo!Na sanamu yenu hiyo fundi ndiye aliyeitengeneza.Yenyewe si Mungu hata kidogo.Naam! Sanamu ya ndama ya Samaria itavunjwavunjwa!

Kusoma sura kamili Hosea 8

Mtazamo Hosea 8:6 katika mazingira