Hosea 9:14 BHN

14 Uwaadhibu watu hawa ee Mwenyezi-Mungu!Lakini utawaadhibu namna gani?Uwafanye wanawake wao kuwa tasa;uwafanye wakose maziwa ya kunyonyesha watoto wao!

Kusoma sura kamili Hosea 9

Mtazamo Hosea 9:14 katika mazingira