Hosea 9:15 BHN

15 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Uovu wao wote ulianzia Gilgali;huko ndiko nilipoanza kuwachukia.Kwa sababu ya uovu wa matendo yao,nitawafukuza nyumbani kwangu.Sitawapenda tena.Viongozi wao wote ni waasi.

Kusoma sura kamili Hosea 9

Mtazamo Hosea 9:15 katika mazingira