Hosea 9:16 BHN

16 Watu wa Efraimu wamepigwa,wamekuwa kama mti wenye mzizi mkavu,hawatazaa watoto wowote.Hata kama wakizaa watoto,nitawaua watoto wao wawapendao.”

Kusoma sura kamili Hosea 9

Mtazamo Hosea 9:16 katika mazingira