Kutoka 1:10 BHN

10 Ni lazima tutafute hila ya kuwapunguza na kuzuia wasiongezeke; la sivyo, kama vita vikitokea watajiunga na adui zetu na kuitoroka nchi.”

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:10 katika mazingira