Kutoka 1:11 BHN

11 Basi, Wamisri wakawateua wanyapara wawasimamie Waisraeli na kuwatesa kwa kazi ngumu. Waisraeli wakafanya kazi ya kumjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:11 katika mazingira