Kutoka 1:12 BHN

12 Lakini kadiri walivyoteswa ndivyo Waisraeli walivyozidi kuongezeka na kuenea nchini. Hivyo Wamisri wakawaogopa sana watu wa Israeli.

Kusoma sura kamili Kutoka 1

Mtazamo Kutoka 1:12 katika mazingira