Kutoka 10:11 BHN

11 La hasha! Ni wanaume tu watakaokwenda kumtumikia Mwenyezi-Mungu, maana hilo ndilo mnalotaka.” Hapo Mose na Aroni wakafukuzwa mbele ya Farao.

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:11 katika mazingira