Kutoka 10:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose, “Nyosha mkono wako juu ya nchi ya Misri, nzige watokee ili waingie na kula mimea yote nchini na vyote vilivyosazwa na ile mvua ya mawe.”

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:12 katika mazingira