Kutoka 10:19 BHN

19 Naye Mwenyezi-Mungu akaleta upepo mkali toka magharibi, ukawainua wale nzige na kuwasukumia kwenye bahari ya Shamu. Hakuna hata nzige mmoja aliyebaki katika nchi nzima ya Misri.

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:19 katika mazingira