Kutoka 10:2 BHN

2 ili nyinyi mpate kuwasimulia watoto wenu na wajukuu wenu, jinsi nilivyowadhihaki Wamisri kwa kuzifanya ishara hizo miongoni mwao. Hivyo mtatambua kuwa mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.”

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:2 katika mazingira