Kutoka 10:23 BHN

23 Watu hawakuweza kuonana wala kuondoka mahali walipokuwa kwa muda huo wa siku tatu. Lakini Waisraeli wote walikuwa na mwanga huko Gosheni walimokuwa wanakaa.

Kusoma sura kamili Kutoka 10

Mtazamo Kutoka 10:23 katika mazingira