Kutoka 12:12 BHN

12 “Usiku huo, nitapita katika nchi ya Misri na kuwaua wazaliwa wa kwanza wa Misri, watu kwa wanyama. Nitaiadhibu miungu yote ya Misri. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu.

Kusoma sura kamili Kutoka 12

Mtazamo Kutoka 12:12 katika mazingira